WAZIRI UMMY AITAKA BODI YA WADHAMINI BOHARI YA DAWA KUSIMAMIA SHERIA

Na Mwandishi Wetu-Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameitaka bodi ya wadhamini ya Bohari ya Dawa  (MSD) kusimamia Sheri na utaratibu wa bodi hiyo katika utendaji ili kuongeza uboreshaji wa utoaji huduma.  Waziri Ummy amesema hayo  Julai 25, 2022 wakati akizindua Bodi hiyo itayosimamia Sheria na taratibu za masuala ya dawa, vifaa,